Kama vile simba halali anavyomvizia mawindo wake kwa subira na ujanja, Simba SC imefanya vivyo hivyo na sasa inakaribia kukamata nyara yake!...
Kuelekea msimu mpya wa mashindano, klabu ya Simba SC imeanza maandalizi ya tamasha lake kubwa la kila mwaka la Simba Day ambalo linatarajiwa kufanyika Agosti 8, 2026 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam....
Simba SC imeelezwa kuwa imechagua kutumia Uwanja wa Uhuru kama uwanja wake wa nyumbani mara baada ya kukamilika kwa maboresho yanayoendelea kufanywa katika dimba hilo. ...
Soka la Tanzania limeendelea kushuhudia matukio makubwa ya usajili, na moja ya habari kubwa ni kurejea kwa kiungo mkabaji Khalid Aucho katika klabu ya Yanga SC baada ya kumalizana na Singida Black Stars....
Mchambuzi wa soka wa ITV, Hosea Mchopa, amesema kuwa klabu za Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini na JS Kabylie ya Algeria zimeingia kwenye mbio za kuwania saini ya mshambuliaji Thadeus Nkeng, ambaye awali alihusishwa na tetesi za kujiunga na Simba SC kuelekea msimu wa 2026/27....