Klabu ya Simba SC imeingia katika hatua mpya ya mabadiliko baada ya kuachana na kiungo wa kati kutoka Guinea, Naby Camara, ambaye alijiunga na Msimbazi kwa msimu wa 2025/2026. Hatua hii imeibua mijadala miongoni mwa mashabiki na wadau wa soka, kwani Camara alionekana kuwa na kipaji cha kipekee, lakini muda wake ndani ya kikosi cha Simba SC umemalizika mapema....