Naodha wa Yanga, Bakari Mwamnyeto, anadaiwa kumaliza rasmi mkataba wake na klabu hiyo huku hatma yake ikiwa haijafahamika kutokana na taarifa zinazoeleza kuwa mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya yamegonga mwamba....
MAKAZI ya bilionea wa India Mukesh Ambani, yanayojulikana kama Antilia, ni miongoni mwa nyumba za kifahari zaidi duniani....